
AjiraCoach Platform
35.4K subscribers
Verified ChannelAbout AjiraCoach Platform
TUTUMIE TANGAZO LA KAZI KUPITIA [email protected] AU WHATSAPP 0629157015 TUKUPOSTIE BURE
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

Habari za Asubuhi Familia ๐

*15,000+ NAFASI MBALIMBALI ZA KAZI ZILIZO TANGAZWA NA TAASISI MBALIMBALI ZA SERIKALI NA MAKAMPUNI MBALIMBALI* 1. *8,800* โ MDAs & LGAs 2. *50* โ TVLA 3. *75* โ UDOM 4. *137* โ TEMESA, TANROADS, TPSC, TICD, TAA 5. *70* โ MUST 6. *58* โ NIT na DMI 7. *112* โ Wizara ya Ardhi 8. *331* โ Tume ya Utumishi wa Mahakama 9. *57* โ TWASA, IRUWASA, WI, NLUPC, IFM, IAA, NBS 10. *100* โ Ajira za mkataba Rombo District 11. *64* โ Air Tanzania 12. *125* โ KSCL 13. *Maelfu* โ Nafasi mbalimbali kutoka Halmashauri mbalimbali nchini *DOWNLOAD FULL PDF ZOTE HAPA:* https://shorturl.at/GjZph *Jiunge na AjiraCoach Platform* kwa taarifa sahihi na za uhakika kila siku. *JIUNGE KUPITIA LINK HAPA๐* ๐ https://whatsapp.com/channel/0029Va8Ui3W42DcgM0bUEK01 #AjiraCoach #NafasiZaKazi #FursaZaAjira #InterviewTips #ElimuNaAjira #Scholarships #Internships #AjiraTanzania #TanzaniaJobs

โ *NAFASI NYINGI ZA KAZI ZILIZO TANGAZWA NA CHUO KIKUU CHA MUHIMBILI (MUHAS)* ๐ฅ *DOWNLOAD FULL PDF HAPA:* https://mavusu.com/2025/06/18/new-vacancies-at-muhas-2/ ๐ข *Jiunge na AjiraCoach Platform kwa taarifa sahihi na za uhakika kila siku.* ๐ https://whatsapp.com/channel/0029Va8Ui3W42DcgM0bUEK01 #AjiraCoach #NafasiZaKazi #AjiraTanzania #MUHAS #HealthcareJobs #Scholarships #Internships #InterviewTips

*NAFASI NYINGI ZA KAZI KWA WATAALAMU WA AFYA ZILIZO TANGAZWA NA BESA DISPENSARY* *Available Positions:* - Medical Doctors - Registered Nurses - Enrolled Nurses - Medical Attendants - Laboratory Technicians - Anesthetists *DOWNLOAD FULL PDF HAPA:* https://mavusu.com/2025/06/15/multiple-vacancies-at-besa-dispensary/ *โ ๏ธ ONYO: Usitoe pesa yoyote katika hatua yoyote ya kutuma maombi ya kazi.* *Jiunge na AjiraCoach Platform kwa taarifa sahihi na za uhakika kila siku.* *JIUNGE KUPITIA LINK HAPA๐* ๐ https://whatsapp.com/channel/0029Va8Ui3W42DcgM0bUEK01 #AjiraCoach #NafasiZaKazi #FursaZaAjira #InterviewTips #ElimuNaAjira #Scholarships #Internships #AjiraTanzania #TanzaniaJobs

*JINSI YA KUWASILIANA NA AJIRA PORTAL ILI UJIBIWE.* ZIPO NJIA MBILI UNAZOWEZA KUZITUMIA: 1๏ธโฃ KUPIGA SIMU 2๏ธโฃ KUTUMIA EMAIL *KUPIGA SIMU* Hii ni njia moja wapo ambapo unaweza kuwasiliana na Ajira Portal na ukatatuliwa shida yako. Njia hii lazima uwe mvumilivu. Piga hata kwa saa nzima bila kupumzika kwa sababu namba zipo busy muda wote. Namba zenyewe ni hizi: 1. +255739160350 2. 026 216 0350 *KUTUMIA EMAIL* Hii ni njia nzuri ya kupata majibu, lakini wengi tunakosea kutuma email. Email yako lazima iwe inaeleweka vizuri. Mfano: Mimi shida yangu nimeweka Postgraduate Diploma wakati nina Diploma, kwa hiyo haitakubali kutuma maombi. Utaandika kama ifuatavyo: *Subject:* KUONDOA POSTGRADUATE DIPLOMA. *Compose:* Mimi ni AjiraCoach Platform, namba ya NIDA *2023030384666677-00002-22* email: *[email protected]* , namba ya simu: *0629157025* . Naomba kuondoa Postgraduate Diploma niliyojaza kimakosa. Mimi nina Diploma in Pharmacy, kwa hiyo nashindwa kutuma maombi. Nina matumaini kuwa ombi langu litashughulikiwa. ๐ Utaandika kama unavyotuma maombi ya kazi kwa email. *EMAIL ZA KUTUMIA:* 1. [email protected] 2. [email protected] *Kama shida yako ni ya haraka, tuma email zote mbili na piga simu pia.* *JINSI YA KUTUMIA EMAIL TAZAMA VIDEO HAPA:* https://youtu.be/dzn1ghjfGFU?si=h_lFKYXTu4EgjnHk *SHARE NA WENGINE*

*60 NAFASI MBALIMBALI ZA KAZI ZILIZO TANGAZWA NA BANK YA NBC TANZANIA* *ELIMU* ๐ Form 4 ๐ Certificate ๐ Diploma ๐ Degree *DOWNLOAD FULL PDF HAPA* https://mavusu.com/2025/06/18/60-vacancies-at-nbc-bank/ *Jiunge na AjiraCoach Platform kwa taarifa sahihi kila siku:* ๐ https://whatsapp.com/channel/0029Va8Ui3W42DcgM0bUEK01 #AjiraCoach #NafasiZaKazi #NBCBankJobs #AjiraTanzania #BankingJobs #TanzaniaJobs

*Siku nyingine, nafasi nyingine. Labda leo hutaitwa, lakini kesho unaweza kupata simu ya kukugeuza maisha. Usipime mafanikio yako kwa kasi ya wengine. Kila mtu ana muda wake. Safari yako ni ya kipekee โ yenye mafunzo, mabadiliko na hatima bora mbele.*

โ *TAMKO LA CHAMA CHA WATAALAMU WA MAABARA TANZANIA (MeLSAT) KUTOKANA NA SERIKALI KUTOTANGAZA AJIRA KWA WATAALAMU WA MAABARA 2025* ๐ฅ *DOWNLOAD FULL PDF HAPA:* https://mavusu.com/2025/06/19/tamko-la-melsat-kuhusu-ajira-za-lab/ ๐ข *Jiunge na AjiraCoach Platform kwa taarifa sahihi na za uhakika kila siku.* ๐ https://whatsapp.com/channel/0029Va8Ui3W42DcgM0bUEK01 #AjiraCoach #MeLSAT #LabTechnologists #AjiraTanzania #FursaZaAjira #NafasiZaKazi #HealthcareJobs #MawasilianoSerikalini

*4015 NAFASI ZA KAZI KWA ASSISTANT NURSING OFFICER II* *DOWNLOAD FULL PDF HAPA* https://mavusu.com/2025/06/17/4015-assistant-nursing-officer-ii-vacancies/ *Jiunge na AjiraCoach Platform kwa taarifa zaidi:* ๐ https://whatsapp.com/channel/0029Va8Ui3W42DcgM0bUEK01 #AjiraCoach #NafasiZaKazi #NursingJobs #AfyaTanzania #AjiraPortal #AssistantNursingOfficer #FursaZaAjira

Kama kwa sasa unasubiri muongozo wa KUJITOLEA tujuane๐