
ELIVERSITY - All We Can Make $10K Online
1.2K subscribers
About ELIVERSITY - All We Can Make $10K Online
Thanks for joining the $10K Whatsapp community, I will revield my strategy, my weekly giveaway and all stuff related to make money online I hope you will never regrit itπ«‘
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

Leo mwanafunzi wangu amenishangaza sanaππ Kalipwa jana zaidi ya β¬120 (zaidi ya Tsh 350,000) kupitia kozi yangu ya CPA marketing na hii ni mara yake ya kwanza kabisa kufanya online business Hakuuza bidhaa wala kuleta watu ili alipwe ila... Alifuata hatua nilizo elekeza tu β Alijifunza kutumia (Smartlink CPA) βAka-run ad ndogo kwenye TikTok βAkapata traffic na CPM nzuri Sasa fikiria kama angefanya hivi kila wiki ingekuaje? Kama una simu na unataka kujifunza njia hii Pitia hapa πππ cpahack.systeme.io/vision2025


JUNE RETAKE DIPOSHIP Hii course itakufundisha jinsi ya kuanza CPA marketing zero to pro,Pia njia za kufanya matangazo TikTok, Facebook na Google bila kutumia hela kwa ads. Jisajili hapaπ cpahack.systeme.io/vision2025 Pia, hawa ni baadhi ya watu waliopo kwenye hii course βββ


Sijaanza coaching ili nijisifie ila nimeanza ili niinue watu kama mimi niliokuwa miaka 2 iliyopita, nikiwa sijui chochote kuhusu digital economy. Kama nimeweza kutoka $0 hadi kujitegemea kupitia online business, basi na wewe pia unaweza kama nilivyobadilisha maisha ya wengine

Kama kuna kitu najivunia ni kuona wanafunzi wangu wakitengeneza pesa kupitia system zangu mwenyewe Hii ndio maana ninafundisha kitu ninachofanya sababu najua win rate yake Nataka kuona mwaka huu vijana zaidi wakitoka kwenye kutegemea hadi kujitegemea kupitia digital skills π«΅

Hakuna ulazima wa wewe kufanya Affiliate & CPA ila unaweza kutumia njia nazotumia kwenye marketing kuongeza revenue Huyu anafanya blogging na hio ni $131.60 tu kutoka google, unaweza tumia Facebook na TikTok kudrive traffic kwenye blog yako PS: You only need 1 working system, na kufata kile nimekufundisha tu lazima utaona matokeo The choice is yours joining us or watch us WIN π§ββοΈ Jiunge sasa π https://cpahack.systeme.io/vision2025


Fursa zinaweza kuja nyingi sana mbele yako,zikapita hata miezi 8 lakini ukishindwa kuzifanya sababu utasema hauna pesa Lakini ikitokea umeibiwa simu yako, huwezi kumaliza hata wiki utanunua simu nyingine PS: wengi shida sio pesa ila ni vipaumbele vyetu tulivyoweka mbele

Kama umehangaika kutafuta ajira bila mafanikio, muda umefika ujifunze jinsi ya kutengeneza kipato mtandaoni. CPA LAUNCHPAD inakupa njia halali ya kuingiza pesa kupitia digital skills, kama wanafunzi wangu wanavyopata matokeo Huu sasa ni wakati wakoπ https://t.ly/J5xMa


Nia yangu si tu kusaidia vijana wenzagu kujiajiri kupitia internet, ila ni kuona vijana wa Afrika Mashariki wanatumia digital skills zao kujenga maisha bora bila kutegemea serikali, wasamaria, au connections. Msaada wako na connection itakua digital skills na bando lako tuπ₯π«΅

Mwanafunzi wangu mmoja amenitumia hii leo: "Bro nimeshaingiza $4,000 kupitia strategies za ads ulizofundisha kwenye course yako. Ilikuwa ngumu mwanzoni, but now I get it!" Kama bado unajiuliza kama course inafanya kazi, huu ndio mda wako sasa https://cpahack.systeme.io/vision2025


Tangu nimeanza online business huyu ndio mtu wa kwanza kumfundisha mwenyewe kupata $4K+ kwa mwezi Hii ni achievement kubwa sana kuona nimeacha DNA zangu kwa street Am so proud na hii yote ni kwasababu ya dedication wala sio bahati, ila ni system bora na sahihi
