
ELIVERSITY - All We Can Make $10K Online
June 4, 2025 at 02:55 PM
Fursa zinaweza kuja nyingi sana mbele yako,zikapita hata miezi 8 lakini ukishindwa kuzifanya sababu utasema hauna pesa
Lakini ikitokea umeibiwa simu yako, huwezi kumaliza hata wiki utanunua simu nyingine
PS: wengi shida sio pesa ila ni vipaumbele vyetu tulivyoweka mbele