
Ushuhuda wa Injili
115 subscribers
About Ushuhuda wa Injili
Karibu ndugu kwenye Channel yetu maalumu kwa ajili ya mafundisho ya neno la Mungu. Itakuwa vyema ukiwaalika na wengine tuendelee kuujenga ufalme wa mbinguni pamoja
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

Ushuhuda wa Injili
2/15/2025, 8:35:07 PM
Mwana wa Mungu shalom shalom Mwishoni mwa mwezi huu nikukaribiahe kwenye maombi maalumu ya MAJIRA YA KUVUSHWA NA BWANA. Haya ni maombi ya siku 3 kavu. Tutaanza Ijumaa ya mwisho wa mwezi na tutaibuka jpili tarehe 2 jioni. Nakukaribisha kwenye maombi haya muhimu kama itakupendeza. 0758443873
β€οΈ
π
3
Image