Ushuhuda wa Injili
Ushuhuda wa Injili
February 15, 2025 at 08:35 PM
Mwana wa Mungu shalom shalom Mwishoni mwa mwezi huu nikukaribiahe kwenye maombi maalumu ya MAJIRA YA KUVUSHWA NA BWANA. Haya ni maombi ya siku 3 kavu. Tutaanza Ijumaa ya mwisho wa mwezi na tutaibuka jpili tarehe 2 jioni. Nakukaribisha kwenye maombi haya muhimu kama itakupendeza. 0758443873
❤️ 🙏 3

Comments