
Fuad_fx
100 subscribers
About Fuad_fx
Fear is the most painful trading killer.
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

Fuad_fx
2/4/2025, 4:22:55 PM
Jambo lingine ndugu, hii biashara kama huna $100, naomba pumzika, hauwezi kufanya kitu chochote. Inauma 😔, lakini ndiyo ukweli. Mtu kumtafuta mtandaoni halafu akusaidie ni ngumu sana, tena sana. 😅 Hiyo $100 itakusaidia kulipia baadhi ya huduma muhimu ili ujifunze 📚.
👍
1