
Fuad_fx
February 4, 2025 at 04:22 PM
Jambo lingine ndugu, hii biashara kama huna $100, naomba pumzika, hauwezi kufanya kitu chochote. Inauma 😔, lakini ndiyo ukweli.
Mtu kumtafuta mtandaoni halafu akusaidie ni ngumu sana, tena sana. 😅
Hiyo $100 itakusaidia kulipia baadhi ya huduma muhimu ili ujifunze 📚.
👍
1