GPSA TANZANIA WhatsApp Channel

GPSA TANZANIA

32 subscribers

About GPSA TANZANIA

Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) ulianzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Wakala Na. 30 ya mwaka 1997 na kutangazwa katika Gazeti la Serikali Na. 235 la tarehe 7 Desemba, 2007 na kufanyiwa marekebisho kupitia Gazeti la Serikali Na. 133 la tarehe 13 Aprili, 2012. Kuanzishwa kwa GPSA ni matokeo ya Programu za uboreshaji wa utendaji katika sekta ya umma yaani Public Service Reforms Program-PSRP ambapo katika maboresho hayo iliyokuwa Bohari Kuu ya Serikali ilifutwa na baadhi ya majukumu yake yalichukuliwa na GPSA. Uzinduzi wa GPSA ulifanyika rasmi tarehe 16 Juni, 2008. GPSA iko chini ya Wizara ya Fedha, na ina ofisi na vituo vya mafuta katika Mikoa yote ya Tanzania bara.

Similar Channels

Swipe to see more

Posts

GPSA TANZANIA
GPSA TANZANIA
5/19/2025, 10:58:04 AM

๐Ÿ‘๐Ÿพ

Post image
Image
GPSA TANZANIA
GPSA TANZANIA
6/5/2025, 3:52:22 PM

๐Ÿ“Œ

Post image
Image
GPSA TANZANIA
GPSA TANZANIA
6/7/2025, 5:32:01 AM

๐Ÿ™๐Ÿฝ

Post image
Image
GPSA TANZANIA
GPSA TANZANIA
6/11/2025, 3:59:27 PM

๐Ÿ“Œ

Image
GPSA TANZANIA
GPSA TANZANIA
2/6/2025, 6:10:00 PM

https://x.com/GpsaTanzania/status/1887519338539700667?t=NKR80hGMeTGqWUcZe5ZBtw&s=09

GPSA TANZANIA
GPSA TANZANIA
2/6/2025, 6:11:03 PM

https://www.facebook.com/share/p/15pJPzE9py/

GPSA TANZANIA
GPSA TANZANIA
2/20/2025, 1:56:57 PM

๐Ÿ“Œ

Image
GPSA TANZANIA
GPSA TANZANIA
3/1/2025, 6:37:24 PM

๐ŸŒ™

Image
GPSA TANZANIA
GPSA TANZANIA
2/6/2025, 6:09:12 PM

GPSA YAFANYA MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI 2025 Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) imefanya Mkutano wa tatu wa Baraza la sita la Wafanyakazi wa GPSA siku ya Jumanne tarehe 04/02/2025 katika ukumbi wa Mikutano ya Kimataifa ya Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam. Kikao cha Baraza kiliongozwa na Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi ambaye ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala Profesa Geraldine Arbogast Rasheli akisaidiana na Katibu wa Baraza la Wafanyakazi Bw. Stephen Muro. Mwenyekiti wa Baraza Prof. Rasheli aliongoza mjadala wa masuala mbalimbali ikiwemo randama ya bajeti ya Wakala 2025/26, Hoja za Wafanyakazi pamoja na masuala mengine yaliyojitokeza yanayohusu Wakala. Prof. Rasheli alisisitiza watumishi kuongeza bidii katika utendaji kazi na kuwa wabunifu ili kuwezesha kuongeza mapato na kufikia malengo ya Wakala. Prof. Rasheli alihitimisha kwa kuwapongeza na kuwashukuru watumishi wanaotarajia kustaafu Utumishi wa Umma hivi karibuni katika Wakala na kuwatakia maisha mema. #GPSATanzania #BohariKuuYaSerikali https://www.instagram.com/p/DFvFMPCtER-/?igsh=MW5vMWtvcThhbXk0cQ==

Link copied to clipboard!