
Mama Samia Legal Aid Campaign #MSLAC
424 subscribers
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

Mama Samia Legal Aid Campaign #MSLAC
2/1/2025, 6:44:39 PM
Kata ya llela, kijiji cha Mapili, Halmashauri ya Mlele Mkoa wa Katavi.
π
π
2
Image

Mama Samia Legal Aid Campaign #MSLAC
2/1/2025, 6:45:23 PM
Kata ya Mtopwa Halmashauri ya Wilaya ya Newala Mkoa wa Mtwara.
π
π
6
Image

Mama Samia Legal Aid Campaign #MSLAC
2/1/2025, 6:45:03 PM
shule ya Sekondari Mandi, Kata ya Mtandi, Mtaa Benako, Masasi Mji
π
π
4
Image

Mama Samia Legal Aid Campaign #MSLAC
2/5/2025, 9:23:56 PM
Halmashauri ya Mji wa Babati kupitia Idara ya Ardhi imetoa viwanja vilivyopimwa vyenye ukubwa wa ekari mbili kwa familia (kaya) 9 zilizokuwa zimevamia shamba la muwekezaji HANADECO lililopo Kata ya Maisaka Kitongoji cha Misuna.
Image

Mama Samia Legal Aid Campaign #MSLAC
2/5/2025, 9:23:26 PM
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia katika Kijiji cha Ntungwa, Kata ya Mkomba Halmashauri ya Momba Mkoa wa Songwe
Image