
Mama Samia Legal Aid Campaign #MSLAC
February 5, 2025 at 09:23 PM
Halmashauri ya Mji wa Babati kupitia Idara ya Ardhi imetoa viwanja vilivyopimwa vyenye ukubwa wa ekari mbili kwa familia (kaya) 9 zilizokuwa zimevamia shamba la muwekezaji HANADECO lililopo
Kata ya Maisaka Kitongoji cha Misuna.