
Safaricom Care
45.9K subscribers
About Safaricom Care
Our purpose is to transform lives by connecting people to people, people to opportunities and people to information.
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

No authorized Safaricom personnel will ever ask you to share your personal information. Kaa rada wasipite na wewe. Ukishuku mtu, SMS 333 ama tumia MySafaricom or M-PESA App Kureport conmen. #ReportConmenOn333 #JiulizeKamaNiUkweli #KaaChonjoUsiconiwe

Wahenga walisema a "habit is a disease" Na ukishazoea kitu kuwacha ningumu.Admin Leo angependa kujua vile umezoea kusave pesa zako.

Happy father's day from Safaricom!


Happy new week Fam! Getting airtime deductions from subscriptions in your line?We got you ๐.Chat with Zuri here https://wa.link/8g0yif to delete.

When it comes to sending and receiving money,we all have different habits and beliefs. Which one do you identify with?

Line yako imeblock na inaitisha PUK? Unaweza pata PUK yako kupitia Zuri https://wa.link/8g0yif au unaweza dial *100#ok kwa line ingine ya Safaricom kisha uchague Get PUK.

Hii wiki haiishi bana ๐, last week time kama hii already tulikuwa tumeanza weekend. Halafu wale wa kutukumbusha next holiday ni October tunajua please. Muwe na siku njema wadau ๐

Kuna hii series deadly pale YouTube inaitwa 'Kamum'. Ukitaka kuiwatch unashika 1GB yako ya YouTube bundles for only Ksh 10 kwa kudial *544*22#. Kwa ile raia inaitambua, who is your favourite character so far?

With as little as Ksh 100, you can start earning daily interest with *Ziidi* Money Market Fund. To get started, download the M-PESA app or dial *334# > Financial Services > Ziidi. Start small, grow smart!

Did you know that cancelling too many transactions will make you unable to confirm other users names for a while? Always be keen when transacting on your M-PESA account.