
Safaricom Care
June 12, 2025 at 05:41 AM
Hii wiki haiishi bana 😒, last week time kama hii already tulikuwa tumeanza weekend. Halafu wale wa kutukumbusha next holiday ni October tunajua please. Muwe na siku njema wadau 🙏
😂
😢
👍
😮
🙏
52