
MADINI NI MAISHA NA UTAJIRI
1.7K subscribers
About MADINI NI MAISHA NA UTAJIRI
Chaneli hii imeundwa mahususi kwa ajili ya kupata bei za dhahabu kwa uhakika na muda sahihi. Bei za dhahabu katika masoko ya Tanzania hutumwa mahali hapa kila siku asubuhi. Lengo kuu ikiwa ni kuongeza ufanisi katika upatikanaji wa taarifa sahihi katika sekta yetu pendwa ya madini. MADINI MAISHA NA UTAJIRI Kwa maoni na mapendekezo wasiliana nasi kupitia: +255787071072 @slowlane_minerals
Similar Channels
Swipe to see more