
MADINI NI MAISHA NA UTAJIRI
May 14, 2025 at 04:50 PM
Nimeona plant nyingi zikifeli lakini ili ya kwako unayopanga kujenga hakikisha umemalizana na haya mambo MAWILI:
1. Uhakika wa material ya kutosha kulisha plant yako.
2. Wataalamu sahihi.
Ikiwa uwezo wako wa uchimbaji ni tani 20 kwa siku usijenge plant ya tani 100, itakupasua kichwa. Labda uwe na mpango wa kukodisha.
Na wataalam ni kama dreva wa gari lako, ukiwa na dreva mbaya, gari lako halitakuletea faida na kila siku utashinda gereji.
Fanya maamuzi sahihi!
Kutoka Mkemia Mineral Services.
❤️
1