
UTUME WA BIBIRIA RC TZ
38 subscribers
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

UTUME WA BIBIRIA RC TZ
2/6/2025, 3:48:53 PM
yakupaswa ujue ili mtu apate kibari machoni pa Mungu lazma awe mwadilifu na mtii machoni pa Mungu na kwa watu wenye nia njema na mapenzi mema , hakuna nabii au mtume aliyefanya Muujiza kwa Nguvu zake ata Musa aliyagawa maji ya bahari kwa Uwezo wa Mungu.
Image