
Tanzeel Foundation
199 subscribers
About Tanzeel Foundation
Welcome to Tanzeel Foundation, where every action is a step towards positive change. Join us on a journey of empowerment, education, and community development as we strive to make a lasting impact in Tanzania and beyond. Through our diverse programs and initiatives, we aim to uplift individuals, families, and communities, fostering a brighter future for all. Together, let's build a world where every dream is within reach and every life is filled with opportunity. Follow us to see how together, we can create a brighter tomorrow.
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

TANZEEL FOUNDATION YA KAMILISHA IBADA YA UDHIYA 2025. FAMILIA TAKRIBAN 200 ZANUFAIKA NAMRADI HUO. TUNAMUOMBA ALLAH AWALIPE KHERI KILA WALIOCHANGIA KUFANIKISHA HILI. Sadaka yako, Ahuweni kwa jamii zetu.


*Tanzeel Social Development Fund (TSDF)* Kila Ijumaa, changia *Shilingi 1,000* kwa ajili ya kuusmwezesha mfuko huu kutimiza malengo yake katika kuihudumia jamii. - Kuwasaidia wasiojiweza - Kugawa futari na daku kipindi cha mfungo wa Ramadhan - Kusaidia mayatima, wajane, na wazee *Fanya Ijumaa yako kuwa yenye baraka!* *Changia kupitia namba* - *TigoPesa:* +255 776 482 582 _(Tanzeel Foundation)_ - *M-Pesa:* +255 749 782 582 _(Tanzeel Foundation)_ - *Airtel Money:* +255 696 810 202 _(Tanzeel Foundation)_ *PBZ Bank Account :* 0927087001 _(Tanzeel Foundation)_ *Tanzeel Foundation,tumejitotolea kwa maendeleo ya kweli* _"Sadaka yako ahueni kwa jamii_"


*Tanzeel Social Development Fund (TSDF)* Changia kwa ajili ya kuuwezesha mfuko huu kutimiza malengo yake katika kuihudumia jamii. - Kuwasaidia wasiojiweza - Kugawa futari na daku kipindi cha mfungo wa Ramadhan - Kusaidia mayatima, wajane, na wazee *Fanya Mshahara wako kuwa wenye baraka!* *Changia kupitia namba* - *TigoPesa:* +255 776 482 582 _(Tanzeel Foundation)_ - *M-Pesa:* +255 749 782 582 _(Tanzeel Foundation)_ - *Airtel Money:* +255 696 810 202 _(Tanzeel Foundation)_ *PBZ Bank Account :* 0927087001 _(Tanzeel Foundation)_ CRDB Bank Account: 0150000T2TD00 (Tanzeel Foundation) *Tanzeel Foundation,tumejitotolea kwa maendeleo ya kweli* _"Sadaka yako ahueni kwa jamii_"

*DHUL HIJJA CHALLENGE* Katika masiku haya 10 matukufu Ya mwezi wa Dhul hijja,ambatanisha ibadah zako na sadaqah itakayo changia katika kuwezesha uanzishwaji wa kituo cha elimu *TANZEEL TRAINING CENTRE* *Changia kupitia namba* - *TigoPesa:* +255 776 482 582 _(Tanzeel Foundation)_ - *M-Pesa:* +255 749 782 582 _(Tanzeel Foundation)_ - *Airtel Money:* +255 696 810 202 _(Tanzeel Foundation)_ *PBZ Bank Account :* 0927087001 _(Tanzeel Foundation)_ CRDB Bank Account: 0150000T2TD00 (Tanzeel Foundation) *Tanzeel Foundation,tumejitotolea kwa maendeleo ya kweli* _"Sadaka yako ahueni kwa jamii_"
