
Ajiraportal TZ-PSRS
13.9K subscribers
About Ajiraportal TZ-PSRS
KARIBU KWENYE CHANNEL YA AJIRAPORTAL TZ HAPA UTAPATA: 🇹🇿Matangazo ya Ajira Serikalini 🇹🇿Matangazo ya Ajira S/Binafsi 🇹🇿Ajiraportal Accounts 🇹🇿Kuitwa kwenye USAILI 🇹🇿Kuitwa kazini 🇹🇿Matokeo Std 7-Form Six 🇹🇿Selection Form one-Universities Email:[email protected] Visit:www.ajiraportaltz.com
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

Hongereni nyote MLIOITWA kazini Leo Kila lakheri 🙏🙏🙏


🔥PDF 3 Mpya WALIMU AFYA MAENDELEO YA JAMII USIKU HUU 🚨 *MAJINA YA WALIOITWA KAZINI UTUMISHI LEO JUNE 2025* ▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬ *Ni waliofanya usaili wa mahojiano kati ya January 2024 mpaka May 2025* ▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬ *TAZAMA HAPA* 👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿 https://ajiraportaltz.com/2025/02/12/majina-ya-walioitwa-kazini-utumishi-2025/ ▬▬▬▬▬▬▬▬▬ 🔔 *Jiunge na Telegram Channel Yetu hapa*👇 https://t.me/mchainanewz1 ▬▬▬▬▬▬▬▬▬ 🔔 *Jiunge na Whatsap Yetu Hapa*👉👉👉👉👉 https://chat.whatsapp.com/IoCMivGFhIa6tRWjHBXPHY ▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬ *TAFADHALI SAIDIA KUSHEA KUWAFIKIA WALENGWA WOTE* 🙏

Challenge hii ya Kwenda Diploma na Form five kipi Bora wengi wamechagua Diploma 😀😀😀😀😀😀 watu 79 wamesema Bora kwenda Diploma na watu 25 wamesema Bora kwenda form five asanteni basi Kila mtu ataona wapi patamfaa Diploma au Form five 🙏🙏🙏


Ujumbe wa Kamishna Mkuu wa Waajiriwa wapya wa TRA wakati wa ufungaji wa mafunzo elekezi kwa waajiriwa hao tarehe 6 Juni, 2025 jijiji Dar es Salaam.

"Pokeeni Roho Mtakatifu. Wowote mtakaowaondolea dhambi, wameondolewa; na wowote mtakaowafungia dhambi, wamefungiwa" Tunawatakia Sherehe njema ya Pentekoste kwa Wakristo wote. 🙏🙏


*Wapendwa mmeamkaje ni siku nyingine Tena ya kutafuta mkate wetu wa Kila siku* *Mungu akujalie ikawe siku njema kwako*🙏🙏🙏

🚨 *NAFASI ZA KAZI ZAIDI YA 2000 ZATANGAZWA NA HALMASHAURI MBALIMBALI NCHINI 2025*👉👉👉👉👉👉👉👉https://ajiraportaltz.com/2025/06/05/nafasi-za-kazi-halmashauri-mbalimbali-2025/ 🙏🙏🙏🙏🙏

🚨 *NAFASI ZA KAZI ZAIDI YA 2000 ZATANGAZWA NA HALMASHAURI MBALIMBALI NCHINI 2025*👉👉👉👉👉👉👉👉https://ajiraportaltz.com/2025/06/05/nafasi-za-kazi-halmashauri-mbalimbali-2025/ 🙏🙏🙏🙏🙏