
Ajiraportal TZ-PSRS
June 7, 2025 at 07:44 PM
Challenge hii ya Kwenda Diploma na Form five kipi Bora wengi wamechagua Diploma 😀😀😀😀😀😀 watu 79 wamesema Bora kwenda Diploma na watu 25 wamesema Bora kwenda form five asanteni basi Kila mtu ataona wapi patamfaa Diploma au Form five 🙏🙏🙏

😂
❤
❤️
4