MazaoHub: Kliniki Za Kilimo.🌱 WhatsApp Channel

MazaoHub: Kliniki Za Kilimo.🌱

30 subscribers

About MazaoHub: Kliniki Za Kilimo.🌱

Karibu kwenye channel rasmi ya MazaoHub, itakayokua ikiputaia Taarifa mbalimbali kuhusiana na Kilimo! Pata taarifa za afya ya udongo, na ushauri wa kitaalamu kutoka kwa maafisa ugani wetu ili kukusaidia wewe mkulima kufanya maamuzi sahihi. Tuko hapa kukupa taarifa kwa wakati, ili kuboresha mavuno yako, kuimarisha uendelevu, na kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa. Jiunge nasi kwa taarifa za mara kwa mara, ushauri wa vitendo wa kilimo, na rasilimali zilizoundwa kukusaidia kufanikiwa katika kila msimu. Karibu sana!

Similar Channels

Swipe to see more

Posts

MazaoHub: Kliniki Za Kilimo.🌱
MazaoHub: Kliniki Za Kilimo.🌱
6/16/2025, 10:18:58 AM

🎉 We’re thrilled to announce that MazaoHub has officially received #investment from the elea Foundation for Ethics in Globalization — and we couldn't be more excited to join this incredible family of impact-driven ventures! This is a partnership grounded in purpose. We’re introducing a new way of farming data-driven #agronomy services built on our own #tech-and-#touch model. Through our network of Farmer Excellent Centers (Kliniki za Kilimo), we collect #farm-level data, give #personalized guidance to farmers, and send that data directly to our CropSupply platform — where buyers can source directly from the farms, informed by real agronomy data. 🌱📲 It’s #simple. It’s #practical. And it’s #working. What excites us most about joining the elea portfolio is how aligned we are both in heart and in mission. The elea team has brought #insight, #energy, and #encouragement that is already helping us do things smarter, faster, and with greater impact. This investment is for the real heroes the smallholder farmers🌱 in Tanzania and across Africa🌍 who wake up every day and feed us all. With this support, we’re scaling up and standing taller making sure farmers are not left behind in the future of food. Thank you elea Foundation for believing in us. For backing action. And for helping us grow in every sense of the word. We’re just getting started. 🚀 #MazaoHub #eleaFoundation #CropSupply #SmartAgronomy #AfricaFoodSystems #TechAndTouch #FarmersFirst #ClimateResilience #ImpactThatMatters

MazaoHub: Kliniki Za Kilimo.🌱
MazaoHub: Kliniki Za Kilimo.🌱
6/16/2025, 10:18:54 AM
Post image
Image
MazaoHub: Kliniki Za Kilimo.🌱
MazaoHub: Kliniki Za Kilimo.🌱
6/16/2025, 10:18:41 AM
Post image
Image
MazaoHub: Kliniki Za Kilimo.🌱
MazaoHub: Kliniki Za Kilimo.🌱
6/16/2025, 10:18:40 AM
Post image
Image
MazaoHub: Kliniki Za Kilimo.🌱
MazaoHub: Kliniki Za Kilimo.🌱
6/16/2025, 10:18:39 AM
Post image
Image
MazaoHub: Kliniki Za Kilimo.🌱
MazaoHub: Kliniki Za Kilimo.🌱
5/30/2025, 7:25:21 AM
Post image
👍 1
Image
MazaoHub: Kliniki Za Kilimo.🌱
MazaoHub: Kliniki Za Kilimo.🌱
5/30/2025, 7:25:21 AM

🌾 We’ve Been Asking Ourselves… How Do We Truly Help? For a while now, we've been wrestling with questions on how we can truly improve the way smallholder farmers grow their crops? How do we help them transition from outdated practices, especially in a time when climate shocks are hitting harder than ever? And then it hit us those most affected are women and their children. The backbone of rural farming. So we went back to the drawing board. We sat at the table and reimagined what support should really look like. We didn’t want to offer just a service we wanted to offer hope. Something practical. Something made for her. We’re excited to launch our Climate-Smart Farming Package—tailored specifically for women in agriculture. This is more than a toolkit. It’s a turning point. A step toward resilience, towards dignity, and towards productivity in the face of a changing climate. Let’s join hands and make sure this package reaches even more women in rural areas. 💬 Do you know any regions or communities where women are severely affected by climate change? Drop them in the comments—we want to go there. We want to reach them. We want to walk with them. We are Introducing a new beginning MazaoHub X Her Farm Her Story Her Farm. Her Story.💚 #ClimateSmartAgriculture #MazaoHub #HerFarmHerStory #WomenInAgriculture #RuralFarming #ResilientFarming #AgriTech #AfricaFarming

MazaoHub: Kliniki Za Kilimo.🌱
MazaoHub: Kliniki Za Kilimo.🌱
5/27/2025, 2:12:37 PM

Karibu Pembejeo Connect: Njia Mpya ya kufanikiwa kwenye biashara ya Pembejeo. Njia Mpya ya kupata wateja zaidi. Njia mpya ya kupata mauzo mengi zaidi. Njia Mpya ya kuwa na mamia ya mawakala wako zaidi. Na njia mpya ya kufanikiwa kibiashara kama muuzaji wa pembejeo kupitia Pembejeo Connect & Agrovet System ya MazaoHub. Kupitia Pembejeo Connect: 1. Utauza pembejeo kwa mtandao wa wakulima walio karibu yako na mbali yako kwa tekinolojia. 2. Utapata mtandao wa maafisa ugani kama mawakala wa pembejeo zako. Uza zaidi. 3. Utasimamia duka lako na wafanyakazi wako kwa simu hata ukiwa mbali, utaona kinachoendelea. 4. Utashirikiana na Agrovets wenzako kuuziana bidhaa, kuunganishana kama familia moja. Hakuna kukaa muda mrefu dukani kwako, wala hasara wala bidhaa kuharibikia dukani tena. Hii ni zaidi ya yote, ukiwa Pembejeo Connect , unaweza kubadili duka lako kuwa Kliniki ya Kilimo, ukapewa kifaa cha kupima udongo, na kuuza zaidi, pesa zaidi kwa kutoa huduma za kupima udongo. Nafasi ni kwa Agrovets wachache walio tayari kuleta mageuzi kwenye kilimo na kuwa chachu ya mafanikio kwa wakulima. Wasiliana nasi leo kwa simu no.+255 699 365 987 Pakua App ya MazaoHub sasa au wasiliana nasi kujua jinsi ya kuanza. MazaoHub – Lima Kiakili.

❤️ 1
MazaoHub: Kliniki Za Kilimo.🌱
MazaoHub: Kliniki Za Kilimo.🌱
5/30/2025, 7:25:24 AM
Post image
👍 1
Image
MazaoHub: Kliniki Za Kilimo.🌱
MazaoHub: Kliniki Za Kilimo.🌱
5/27/2025, 2:12:30 PM
Post image
Image
Link copied to clipboard!