MazaoHub: Kliniki Za Kilimo.🌱
MazaoHub: Kliniki Za Kilimo.🌱
May 27, 2025 at 02:12 PM
Karibu Pembejeo Connect: Njia Mpya ya kufanikiwa kwenye biashara ya Pembejeo. Njia Mpya ya kupata wateja zaidi. Njia mpya ya kupata mauzo mengi zaidi. Njia Mpya ya kuwa na mamia ya mawakala wako zaidi. Na njia mpya ya kufanikiwa kibiashara kama muuzaji wa pembejeo kupitia Pembejeo Connect & Agrovet System ya MazaoHub. Kupitia Pembejeo Connect: 1. Utauza pembejeo kwa mtandao wa wakulima walio karibu yako na mbali yako kwa tekinolojia. 2. Utapata mtandao wa maafisa ugani kama mawakala wa pembejeo zako. Uza zaidi. 3. Utasimamia duka lako na wafanyakazi wako kwa simu hata ukiwa mbali, utaona kinachoendelea. 4. Utashirikiana na Agrovets wenzako kuuziana bidhaa, kuunganishana kama familia moja. Hakuna kukaa muda mrefu dukani kwako, wala hasara wala bidhaa kuharibikia dukani tena. Hii ni zaidi ya yote, ukiwa Pembejeo Connect , unaweza kubadili duka lako kuwa Kliniki ya Kilimo, ukapewa kifaa cha kupima udongo, na kuuza zaidi, pesa zaidi kwa kutoa huduma za kupima udongo. Nafasi ni kwa Agrovets wachache walio tayari kuleta mageuzi kwenye kilimo na kuwa chachu ya mafanikio kwa wakulima. Wasiliana nasi leo kwa simu no.+255 699 365 987 Pakua App ya MazaoHub sasa au wasiliana nasi kujua jinsi ya kuanza. MazaoHub – Lima Kiakili.
❤️ 1

Comments