Find WhatsApp Channels

Discover the best WhatsApp channels for news, entertainment, education and more. Our powerful search helps you find exactly what you're looking for.

Channels & Posts for #americanairlines

Posts

Aviation Tanzania on Instagram: "Tazama Ndege za kivita za Jeshi la Anga la Italia, Eurofighter Typhoon, zikiimarisha ulinzi wa ndege ya American Airlines safari namba AA292 baada ya ndege hiyo kupokea tishio la bomu. Ripoti zisizo rasmi zimeeleza kuwa, kuwa bomu lingelipuka ikiwa ndege hiyo ingeshuka chini ya futi 10,000 wakati wa kushuka kuelekea Delhi. Kutokana na tahadhari, wahudumu wa ndege waliamua kugeuza mwelekeo wake walipokuwa wakiruka juu ya Bahari ya Caspian. Ndege hiyo, aina ya Boeing 787-9 Dreamliner (N480AN), iliyokuwa ikifanya safari kutoka New York kuelekea Delhi, ilikuwa imebeba zaidi ya abiria 280, ililazimika kutua katika Uwanja wa Ndege wa Fiumicino (FCO) huko Roma kwa usalama. Abiria wote waliokuwa ndani ya ndege hiyo walitolewa salama mara baada ya kutua. . #bombthreat #americanairlines #boeing7879 #eurofighertyphoon #airsafety #safety #aircraft #aviationtanzania✈ #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates #aviatamedia #aviatatv"

https://www.instagram.com/reel/DGcan4QtCpc/?igsh=bTlqOWI2OXU1OHow *Tazama Ndege za kivita za Jeshi...

American Airlines says its flight diverted to Rome after security concern

https://www.newindiaabroad.com/news/americanairlines-says-its-flight-diverted-to-rome-after-security...

Apple Music 2 Months free click the link below to ...

Apple Music 2 Months free click the link below to redeem 👇 https://redeem.services.apple/americana...

Aviation Tanzania on Instagram: "First Officer kupewa cheo cha Captain kwa heshima baada ya kupoteza maisha kwenye ajali ya ndege iliyoigongana na helikopta. Shirika la ndege la PSA Airlines ambalo ni tawi la American Airlines, limetangaza kumtambua rasmi rubani msaidia (First Officer) Samuel Lilley, aliyepoteza maisha kwenye ajali ya ndege safari namba 5342, kama Rubani kiongozi (Captain) kwa heshima kwa kuzingatia kiwango cha juu cha umahiri, usalama, na weledi aliouonyesha katika kazi yake akiwa na PSA Airlines. Kampuni hiyo imemueelezea marehemu Samuel Lilley kama mtu aliyejulikana kwa kazi yake bora na moyo wa kujitolea katika kuhakikisha usalama wa abiria na wafanyakazi wenzake wakiwa angani. Vilevile, PSA imetangaza kuwa wafanyakazi wote wanne waliofariki kwenye ajali hiyo ambao ni pamoja na Captain Jonathan Campos, Flight Attendant-Danasia Elder, na Flight Attendant- Ian Epstein watapokea tuzo ya PSA Honorary President’s Award, heshima ya juu kabisa katika kampuni hiyo. Ajali ya ndege ya American Eagle safari namba 5342, iliyofanywa na shirika la PSA Airlines, ilitokea Januari 29, 2023, majira ya saa 9 jioni ambapo dege ya Bombardier CRJ700 iligongana hewani na helikopta ya Sikorsky H-60 wakati ikikaribia kutua kwenye uwanja wa ndege wa Reagan National. Helikopta iliyo husika kwenye ajali ilikuwa katika mafunzo na ilikuwa ni ya Kampuni B, Kikosi cha 12 cha Anga kilichopo Fort Belvoir, Virginia. Taarifa kutoka kwa mkuu wa vyombo vya habari wa Joint Task Force-National Capitol Region, Heather Chairez, zilisema kwamba helikopta ilikuwa ikienda kwa urefu wa takriban futi 200 zaidi ya ilivyostahili wakati wa ajali. Tuzo hizi za heshima zinatolewa kwa lengo la kuwaenzi wafanyakazi kwa mchango wao mkubwa katika shirika la ndege la PSA,ambapo familia zao zitakabidhiwa tuzo hizo. . #planecrash #crj700 #americanairlines #flight5342 #accident #safety #aircraft #aviationtanzania✈ #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates #aviatamedia #aviatatv"

https://www.instagram.com/p/DF4-GeoNLrD/?igsh=MTBtaHYxZHVpN2gyaQ== *First Officer kupewa cheo cha C...

Lba Noticias (@LbaNews) en X

Internacionales: Veamos la cronología de como ocurrieron los hechos y saquemos una conclusión… ¿El...

Donald Trump Culpa A Biden & Obama Por Accidente Aéreo En Washington D.C. - LBA Medios

#BreakingNews: El Rey Ciro @realDonaldTrump vincula el accidente aéreo de anoche con las políticas ...

👉 Victims of Washington DC Plane Crash : American Airlines and Military Helicopter Collision - GH EDUCATE

*Deadly Washington DC Plane Crash Tragedy* https://gheducate.com/👉-victims-of-washington-dc-plane...