TRT Afrika Swahili

TRT Afrika Swahili

11.8K subscribers

Verified Channel
TRT Afrika Swahili
TRT Afrika Swahili
January 27, 2025 at 06:08 PM
Je, unajua kwamba uchomaji maiti unaongezeka kote barani Afrika? Kijadi, tamaduni nyingi za Kiafrika zinapendelea mazishi, yenye msingi wa heshima kubwa kwa mila za jadi na imani za dini. Lakini mambo yanabadilika. https://www.tiktok.com/@trtafrikasw/video/7464530183605767440
😢 1

Comments