TRT Afrika Swahili

TRT Afrika Swahili

11.8K subscribers

Verified Channel
TRT Afrika Swahili
TRT Afrika Swahili
January 28, 2025 at 06:28 AM
Kundi la waasi la M23 limeendeleza mashambulizi yao katika eneo la Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC. Jamii ya kimataifa inahofia kuwa hali itaendelea kuzorota kwa raia katika eneo hili huku watu zaidi wakilazimika kuondoka katika makazi yao. https://www.tiktok.com/@trtafrikasw/video/7464597438557474065
😢 1

Comments