
TRT Afrika Swahili
January 28, 2025 at 11:06 AM
🇺🇸 Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imesitisha karibu misaada yote kwa mataifa ya ya kigeni, siku chache baada ya Rais Donald Trump kutoa amri Jumatatu ya kusitisha msaada huo kwa siku 90.
Usaidizi utaendelea tu kwa msaada wa dharura wa chakula na ufadhili wa kijeshi kwa Israeli na Misri.
👍
🙏
5