TRT Afrika Swahili

TRT Afrika Swahili

11.8K subscribers

Verified Channel
TRT Afrika Swahili
TRT Afrika Swahili
January 29, 2025 at 09:47 AM
🇨🇩 Waandamanaji katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Kinshasa Jumanne walivamia balozi za nchi wanazozituhumu kuhusika na uungaji mkono wa Rwanda kwa waasi wa M23. Waasi hao wameripotiwa kuuteka mji mkuu wa mkoa wa Mashariki wa Goma.
😢 😮 4

Comments