TRT Afrika Swahili

TRT Afrika Swahili

11.8K subscribers

Verified Channel
TRT Afrika Swahili
TRT Afrika Swahili
January 29, 2025 at 02:01 PM
🇨🇩 Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Félix Tshisekedi, hatohudhuria kikao cha dharura cha wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kilichokuwa kifanyike siku Januari 29. Kulingana na msemaji wa Rais wa DRC Tina Salama, Tshisekedi hatoweza kuhudhuria kikao hicho kilichoandaliwa na Rais William Ruto wa Kenya kutokana na 'kubanwa na ratiba.' Kikao hicho cha wakuu wa nchi za EAC kiliazimia kutafuta suluhu ya machafuko yanayoendelea nchini DRC kwa sasa.
👍 ❤️ 😢 9

Comments