TRT Afrika Swahili
January 30, 2025 at 02:31 PM
Utajiri wa Afrika: Afrika ina fahari katika jangwa lake la Kalahari. Sehemu kubwa ya Jangwa la Kalahari ipo nchini Botswana, theluthi moja ya mashariki ya Namibia na sehemu ya kaskazini kabisa ya Jimbo la Cape Town Kaskazini mwa Afrika Kusini.
https://www.tiktok.com/@trtafrikasw/video/7465714711594601745