
TRT Afrika Swahili
January 30, 2025 at 02:40 PM
Rais Paul Kagame wa Rwanda ameishutumu Afrika Kusini akisema haileti suluhisho kuhusu mgogoro wa eneo la DRC Mashariki.
Kulingana na Umoja wa Mataifa na mashiriki mengine, Rwanda inahusishwa na kundi la M23 linalopigana na Jeshi la DRC, huku wakiwa wameteka maeneo kadhaa Mashariki mwa nchi hiyo.
😮
🙏
3