TRT Afrika Swahili

TRT Afrika Swahili

11.8K subscribers

Verified Channel
TRT Afrika Swahili
TRT Afrika Swahili
February 4, 2025 at 04:30 PM
Licha ya Mwenyekiti wa EAC William Ruto kuthibitisha kuwa Rais Paul Kagame wa Rwanda na Rais Felix Tshisekedi wa DRC *watahudhuria mazungumzo ya amani* nchini Tanzania Februari 8,2025, bara la Afrika bado linasubiri kuona kama wawili hao watatekeleza ahadi zao huku kikundi cha M23 kikiendelea kudhibiti mji wa Goma, mashariki mwa DRC. https://vt.tiktok.com/ZS6K5cxst/
😢 3

Comments