TRT Afrika Swahili

TRT Afrika Swahili

11.8K subscribers

Verified Channel
TRT Afrika Swahili
TRT Afrika Swahili
February 15, 2025 at 03:26 PM
Umoja wa Afrika wamchagua Mahmoud Ali Youssouf wa Djibouti kuwa mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika. Youssouf amewashinda Raila Odinga wa Kenya na Richard James Randriamandrato wa Madagascar na hivyo kukirithi cheo cha Moussa Faki Mahamat kwa muhula wa miaka minne.
❤️ 😂 👍 6

Comments