
TRT Afrika Swahili
February 15, 2025 at 05:32 PM
Algeria imetwaa nafasi ya *Makamu Mwenyekiti* wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC) baada ya Marais na viongozi wa Afrika wanaokutana nchini Ethiopia kumchagua *Selma Haddadi* .
Haddadi ni Balozi wa Algeria nchini Ethiopia na mwakilishi wa kudumu wa Algeria ndani ya Umoja wa Afrika.
🙏
1