
BBC News Swahili
February 5, 2025 at 11:19 AM
Chini ya masharti ya mkataba wa kusitisha mapigano kati ya Israel na Hamas ulioanza tarehe 19 Januari, jumla ya mateka 33 wa Israel wanastahili kuachiliwa na kurejeshwa kwa familia zao wakati wa awamu ya kwanza, itakayodumu kwa wiki sita. Zaidi soma 👇🏿👇🏿https://www.bbc.com/swahili/articles/c8d9r0d7lpyo?at_campaign=ws_whatsapp
👍
❤️
🙏
🇨🇩
🇹🇿
😢
😮
14