
RFI Kiswahili
February 10, 2025 at 07:59 AM
Ofisi ya kiongozi wa mashtaka ya kijeshi nchini #drc🇨🇩 imesema wanajeshi 75 wanatarajiwa kufunguliwa mashtaka siku ya Jumatatu, kwa kukimbia baada ya kuvamiwa na waasi wa #m23.
👍
🙏
❤️
😂
😢
😮
18