
RFI Kiswahili
February 10, 2025 at 08:10 AM
Nyota wa muziki wa Mali🇲🇱 Sidiki Diabaté ameibiwa usiku wa Jumamosi 8 kuamkia Jumapili 9 Februari karibu na #paris. Tukio hilo lilitokea nyumbani kwa dada wa mwanamuziki huyo. Wizi huo ambao haukuwa na vurugu. https://rfi.my/BOj7.w
😮
❤️
👍
😂
🙏
11