RFI Kiswahili

RFI Kiswahili

367.5K subscribers

Verified Channel
RFI Kiswahili
RFI Kiswahili
February 11, 2025 at 05:46 AM
Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo🇨🇩, huko Goma, maisha yanarejea kuwa ya kawaida taratibu, ingawa hali bado haijarejea kuwa ya kawaida. Kulingana na vyanzo vya mashirika ya kibinadamu, eneo la Kanyaruchinya, ambalo lilikuwa mojawapo ya vituo vikubwa zaidi vya mapokezi nchini DRC, sasa linakaliwa na chini ya asilimia 10 ya uwezo wake. Kambi za Nzulo 1 na Rusayo 2 hazizidi asilimia 30. ya watu. Ripoti : Ali Bilali👆
🙏 ❤️ 👍 😂 😢 😮 11

Comments