
RFI Kiswahili
February 11, 2025 at 06:05 AM
Nchini DRC🇨🇩, Mahakama yakijeshi imefunguwa kesi mjini Bukavu dhidi ya askari 84 wa jeshi la Congo wanaotuhumiwa kwa mauwaji ya watu wasiopunguwa 9 wilayani Kabare na uporaji wa mali ya raia.
Baadhi ya askari hao ni wa kikosi kinachoitwa Duma au Guépard, wakituhumiwa kwa mauaji, wizi, uporaji, uasi, kumtoroka adui, ubakaji na kadhalika.
Ripoti: William Basimike- Bukavu RFI Kiswahili. 👆
👍
😢
🙏
❤️
😂
😮
17