
RFI Kiswahili
February 11, 2025 at 06:58 AM
Shughuli katika uwanja wa ndege wa #goma mashariki mwa #drc🇨🇩, zimeripotiwa kuanza taratibu huku wanafunzi nao wakianza tena kusoma baada ya kusimama kwa siku kadhaa kufuatia mji huo kuvamiwa na waasi wa #m23.
Ripoti : Chube Ngorombi, Goma. 👆
🙏
❤️
👍
😂
8