RFI Kiswahili
February 11, 2025 at 10:51 AM
Takwimu hizi zimetolewa wakati huu idadi ya vifo ikiripotiwa kuongezeka katika siku za hivi punde.
Hadi kufikia sasa, visa 3,147 vya kipindupindu vimethibitishwa kwenye taifa hilo tangu tarehe saba ya mwezi Januari. https://rfi.my/BOxL.w
❤️
🙏
👍
😂
😢
10