RFI Kiswahili

RFI Kiswahili

367.5K subscribers

Verified Channel
RFI Kiswahili
RFI Kiswahili
February 12, 2025 at 05:22 AM
Mauaji ya Jumatatu yaliripotiwa kujibu shambulio la wanamgambo wa Zaire, ambao wanadai kutetea jamii ya Hema, katika mji unaopatikana katika eneo hilo siku yaJumamosi, kulingana na vyanzo vya mashariki ya kiraia. Mkoa wa Ituri unakumbwa tangu mwaka 2017 na mzozo kati ya wanamgambo wa kijamii, ikiwa ni pamoja na CODECO na kundi la Zaire, ambao umesababisha vifo vya maelfu ya raia na watu wengi kuyahama makazi yao. https://rfi.my/BP6U.w
😢 😮 😂 5

Comments