RFI Kiswahili

RFI Kiswahili

214.2K subscribers

Verified Channel
RFI Kiswahili
RFI Kiswahili
February 12, 2025 at 05:38 AM
Wakuu wa nchi na serikali wa mataifa mbalimbali barani Afrika kuanzia Alhamis ya wiki hii watawasili jijini Addis Ababa nchini Ethiopia🇪🇹, kushiriki kwenye mkutano muhimu wa 38 wa Umoja wa Afrika, kujadili masuala mbalimbali na kumchagua Mwenyekiti mpya wa Tume ya Umoja huo siku ya Jumamosi. Kuanzia uwanja wa ndege wa Addis Abbaba Bole, unaanza kukutana na mabango yanayonadi kikao hicho. Ripoti : Carol Korir : Addis Ababa👆
😢 👍 3

Comments