
RFI Kiswahili
February 12, 2025 at 06:38 AM
Mashariki mwa DRC🇨🇩, watu 80 wengi wao wakimbizi wameuawa katika kijiji cha Djaiba umbali wa Kilomita 90 Kaskazini mwa mji wa Bunia, mkoani Ituri baada ya kudaiwa kushambuliwa na waasi wa CODECO siku ya Jumanne.
BAKONDO LENGA Jean-Richard, ni mkuu wa tarafa ya Bahema Bajere, kulikotokea mauaji hayo.👆
😢
👍
😮
14