
RFI Kiswahili
February 12, 2025 at 07:08 PM
Rais wa #ukraine #volodymyrzelensky kupitia ukurasa wake wa X amethibitisha kufanya mazungumzo ya kina kirefu na mwenzake wa Marekani Donald #trump.
#zelensky anasema wamejadili kuhusu fursa za kupata amani, utayari wa nchi yake kushirikiana na vitengo vya pande zote vitakavyopewa jukumu la kuongoza mazungumzo.
❤️
😂
🙏
😢
👍
22