RFI Kiswahili

RFI Kiswahili

214.2K subscribers

Verified Channel
RFI Kiswahili
RFI Kiswahili
February 15, 2025 at 09:11 AM
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António #guterres wakati akizungumza katika mkutano wa viongozi wa wakuu wa serikali za Afrika unaofanyika jijini #addisababa, ameonya dhidi ya mzozo wa #drc kugeuka na kuwa wa kikanda. Aidha kiongozi huyo ametaka uhuru wa ardhi ya DR Congo🇨🇩 kuheshimiwa na kusisitiza kwamba mzozo huo hauwezi kutatuliwa kwa njia ya kijeshi. 📷Maktaba
👍 😂 🙏 ❤️ 😢 😮 16

Comments