Swahili Times

Swahili Times

780.0K subscribers

Verified Channel
Swahili Times
Swahili Times
February 12, 2025 at 12:16 PM
Jeshi la Polisi mkoani Mtwara linawashikilia wanaume wawili Dickson Tamba (27) na Mohamed Kajao (34), Mwalimu wa Shule ya Msingi Nanyani mkoani humo kwa tuhuma za kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja. Tukio hilo lilifanyika mwezi Januari 2025 katika nyumba ya kulala wageni, ambapo kwa mujibu wa Jeshi la Polisi mtuhumiwa Tamba aliruhusu kuingiliwa na Kajao, kisha kujirekodi na kuisambaza kwenye mitandao ya kijamii.
😢 😂 😮 👍 🙏 ❤️ 56

Comments