Swahili Times

Swahili Times

780.0K subscribers

Verified Channel
Swahili Times
Swahili Times
February 12, 2025 at 03:23 PM
Mpango wa Taifa wa Kudhibiti UKIMWI Magonjwa ya Ngono na Homa ya Ini (NASHCoP), Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) na Shirika la Aids Healthcare Foundation (AHF) kwa pamoja wataadhimisha siku ya Kondomu Duniani kwa mara ya kwanza nchini Februari 13, 2025. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa Habari, Kaimu Meneja Mpango wa Taifa wa Kudhibiti UKIMWI Magonjwa ya Ngono na Homa ya Ini (NASHCoP), Dkt. Zeye Nkomela amesema maadhimisho hayo yatafanyika mkoani Dodoma.
😂 ❤️ 😢 😮 👍 62

Comments