Swahili Times

Swahili Times

780.0K subscribers

Verified Channel
Swahili Times
Swahili Times
February 13, 2025 at 12:14 PM
Bunge la Tanzania leo Februari 13, 2025, limepitisha Muswada wa Sheria ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi, hatua inayolenga kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini. Sheria hiyo imeanzisha Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (Tanzania Investment and Special Economic Zones Authority – TISEZA), ambayo inachukua nafasi ya Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) na Mamlaka ya Kukuza Mauzo ya Bidhaa Nje ya Nchi (EPZA), ambazo sasa zimeunganishwa.
👍 🙏 ❤️ 😂 😢 9

Comments