
Swahili Times
February 13, 2025 at 02:11 PM
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Amina Suleiman Msengwa kuwa Mtakwimu Mkuu wa Serikali akichukua nafasi ya Dkt. Albina Chuwa ambaye amemaliza muda wake.
Kabla ya uteuzi huo, Dkt. Msengwa alikuwa Mhadhiri Mwandamizi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
👍
❤️
🙏
😂
😢
😮
31