Swahili Times

Swahili Times

780.0K subscribers

Verified Channel
Swahili Times
Swahili Times
February 13, 2025 at 04:25 PM
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, amesema Ukraine haitakubali makubaliano yoyote ya amani yaliyofikiwa na Urusi na Marekani bila ushiriki wake. Kauli hiyo imejiri baada ya Rais wa Marekani, Donald Trump kuzungumza na Rais wa Urusi, Vladimir Putin Jumatano kabla ya kutangaza kuwa wamekubaliana kuanza mazungumzo ya kumaliza vita vya Ukraine.
😂 👍 ❤️ 😮 🙏 😢 38

Comments