JamiiForums

JamiiForums

716.2K subscribers

Verified Channel
JamiiForums
JamiiForums
February 13, 2025 at 06:26 AM
Kesi ya Haki (Right to Fair Trial) inapokosekana Watu wanaweza kunyimwa Haki yao ya msingi ya kutetewa, kupewa adhabu isiyo ya Haki au hata kuhukumiwa kwa makosa wasiyoyafanya Mahakama zinapaswa kuwa huru na zisizoingiliwa na Serikali, Vyombo vya Usalama au Mashinikizo ya Kisiasa Aidha, Mtuhumiwa ana Haki ya kukata Rufaa ikiwa anahisi kuwa kesi yake haikusikilizwa kwa Haki Soma zaidi https://jamii.app/RightToFairTrial
👍 1

Comments