JamiiForums

JamiiForums

712.6K subscribers

Verified Channel
JamiiForums
JamiiForums
February 13, 2025 at 09:47 AM
MARA: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA-Bara, John Heche akizungumza katika hadhara iliyompokea alipowasili Tarime amesema yeye na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu wapo tayari kupoteza maisha ili kulinda msimamo wa Chama wa kutetea Wananchi Soma https://jamii.app/HecheTarime
👍 🙏 😂 ❤️ 😢 19

Comments